1 / 27

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus. www.biblebasicsonline.com www.carelinks.net Email: info@carelinks.net. 8.1 Introduction / Dibaji. 1 Tim. 2:5: “There is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus”.

betty
Télécharger la présentation

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Bible Basics / MISINGI YA BIBLIASOMO LA 8: AsiliyaYesu / The Nature Of Jesus

  2. www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net

  3. 8.1 Introduction / Dibaji • 1 Tim. 2:5: “There is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus”. • Mungunimmojana mpatanishikatiyaMungu na wanadamunimmoja, mwanadamu, KristoYesu

  4. LakinikwetusisiMungunimmojatu, aliye Baba’(1Kor 8:6) ‘Mungu Baba’ kwasabauhiiniMungupekee. BasihaiwezekanikwambakunawezakuwapoMungualiyejitengaaitwae ‘Mungumwana’ kamamafundishopotufuyautatuyasemavyo. VivyohivyoAgano la kale linatoamaelezoyakumhusu YAHU, Mungummojaakiwani Baba (mfanoIsaya 63:16; 63:8)

  5. 8.2 Differences Between God And Jesus • TofautizilizopokatiyaMungu na Yesu

  6. TofautizilizopokatiyaMungu na Yesu • MUNGU • “Munguhawezikujaribiwa (Yakobo 1:13) • WatuhawawezikumwonaMungu 1 Tim 6:16 Kut. 33:23) • Munguhawezikufa - Hapatikani na mauti (Zab 90:2; 1 Tim 6:16) • YESU • Kristo"alijaribiwasawasawa na sisikaika mambo yote (Ebr 4:15) • WatuwalimwonaYesu na walimpapasa(1 Yohana1:1 huunimkazo) • Kristoalikufakwasikutatu (Math 12:40; 16:21).

  7. 8.3 The Nature Of Jesus • Asili Ya Yesu

  8. Tempted Like Us / Kama vile sisitujaribiwavyo • “We have not an high priest which cannot be touched with the feeling of our infirmities; but was in all points tempted like us” (Heb. 4:15). • KwakuwahatunaKuhaniMkuuanawezakuchukuliana na sisikatikaudhaifuwetu, kwaniYeyemwenyewealijaribiwakwakilanamna, kama vile sisitujaribiwavyo, lakiniYeyehakutendadhambi.

  9. The desires which are the basis of our temptations come from within us (Mk. 7:15-23), from within our human nature (James 1:13-15). It was necessary, therefore, that Christ should be of human nature so that he could experience and overcome these temptations • Mawazomabayaambayonimsingiwamajaribioyetuyanakujatokandaniyamioyoyetu (Marko 7:15-23) tokandaniyamiiliyetuwanadamu (Yakobo 1:13-15). Basi,ilikuwanilazima, kwambaKristo awe na mwiliwabinadanuilikwambaawezekuonja na kuyashindahayamajaribu.

  10. Waebrania 2:14-18 yamewekwayotehayakwamanenomengi • “Basi, kwakuwawatoto (sisi) wameshirikidamu na mwili (mwiliwakibinadamu) nayevivyohivyoalishirikiyayohayo (yaanihaliyatabiaileile) ilikwanjiayamautiamharibu….. ibilisi……. Maananihakika, hatwaiasiliyaMalaikabalianatwaaasili (haliyatabia) yamzaowaIbrahimu. Hivyoilimpasakufananishwa na nduguzakekatika mambo yote, apatekuwakuhanimkuumwenyerehema,….iliafanyesuluhu(upatanisho) kwadhambizawatu wake. Na kwakuwamwenyewealiteswaalipojaribiwa, awezakuwasaidiawaowanaojaribiwa”.

  11. “Why do you call me good? There is none good but one, that is, God” • Yesualipokuwaanaondoka, mtummojaakamkimbilia, akapigamagotimbeleYake, akamwuliza, “Mwalimumwema, nifanyeniniiliniurithiuzimawamilele?’’ Yesuakamwambia, “Mbonaunaniitamwema? HakunaaliyemwemaisipokuwaMungupekeYake.(Marko 10:17,18).

  12. Jesus “Knew all, and needed not that any should testify of man: for he knew what was in man” (Yohanna. 2:23-25) • 23Ikawa YesualipokuwaYerusalemukwenyeSikukuuyaPasaka, watuwengiwalionaishara na miujizaalizokuwaakifanya, wakamwamini. 24Lakini Yesuhakujiaminishakwaokwasababualiwajuawanadamuwote. 25Hakuhitaji ushuhudawamtu ye yotekuhusumtukwakuwaalijuayoteyaliyokuwamoyonimwamtu.

  13. 8.4 The Humanity Of Jesus / UbinadamuWaYesu

  14. Jesus was weary, and had to sit down to drink from a well (Jn 4:6) Habariimetolewayakwambaalichokaakaketivivihivyikisimani (Yn4:6). • “Jesus wept” at the death of Lazarus (Jn. 11:35) "Yesualilia”, Lazaroalipokufa (Yn 11:35).

  15. “My God, my God, why have you forsaken me?” (Mt. 27:46). • Yesuakapazasautiakalia, “Eloi, Eloi lama sabakthani?’’ Maanayake, “Munguwangu, Munguwangu, mbonaumeniacha?’’

  16. He “prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup (of suffering and death) pass from me; nevertheless not as I will, but as you will” (Mt. 26:39). This indicates that at times Christ’s fleshly desires were different from those of God. “ • Aliombaakisema, Baba yanguikiwezekanakikombehikikiniepuke (cha mateso na mauti); walakinisikamanitakavyomimi, balikamautakavyowewe"(Math 26:39). MstarihuuunaonyeshakwambakwanamnanyingineniayaKristo, au matakwa, yalikuwatofauti na niayaMungu.

  17. “Jesus increased in wisdom and stature (i.e. spiritual maturity, cp. Eph. 4:13), and in favour with God and man” (Lk. 2:52). Tanguutoto,"Yesuakazidikuendeleakatikahekima na kimo (yaani, kukuakirohomfanoEfe 4:13), alimpendezaMungu na wanadamu (Lk 2:52). • “The child grew, and became strong in spirit” (Lk. 2:40). )."Yule mtoto, akakuaakaongezekanguvu (akakua) katikaroho”(Luka 2:40).

  18. “Though he were a Son, yet learned he obedience (i.e. obedience to God) by the things which he suffered; and being made perfect (i.e. spiritually mature), he became the author of eternal salvation” as a result of his completed and total spiritual growth (Heb. 5:8,9). • "Kwamatokeoyakekamiliyakukuakiroho” (Ebr 5:8,9)

  19. Jesus “offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto him (God) that was able to save him from death, and was heard for his piety” (Heb. 5:7). The fact that Christ had to plead with God to save him from death rules out any possibility of him being God in person. • 7Katika sikuzamaishayaYesuhapaduniani, alimtoleamaombi na duapamoja na kuliasana na machozi, Yeyeawezayekumwokoa na mauti, nayeMunguakamsikiakwasababuyakutiiKwakekwaunyenyekevu.

  20. “God...raised up Jesus...Him has God exalted with his right hand to be a Prince and a Saviour” (Acts / MatendoyaMitume5:30,31).Nyoshamkono Wako ilikuponyawagonjwa na kutendaishara na miujizakwaJina la MwanaoMtakatifuYesu.’’ Walipokwishakuomba, mahali pale walipokuwawamekutanikapakatikiswa, naowotewakajazwa na RohoMtakatifu, wakanenaneno la Mungukwaujasiri. • “God...has glorified his Son Jesus...whom God has raised from the dead” (Acts / MatendoyaMitume3:13,15). MunguwababazetuamemtukuzaMwanaweYesuambayeninyimlimtoaahukumiwe…. Hivyomkamwuaaliyechanzo cha uzima, lakiniMunguakamfufuakutokakwawafu. Sisitumashahidiwa mambo haya.

  21. 8.5 UhusianoWaMungu Na Yesu / The Relationship Of God With Jesus

  22. “The head of every man is Christ; and the head of the woman is the man; and the head of Christ is God” (1 Cor. 11:3). "kichwa cha kilamwanaumeniKristo;nakichwa cha mwanamkenimwanamume; na kichwa cha KristoniMungu"(1Kor 11:3). • Thus “Christ is God’s” (1 Cor. 3:23). Hivyo"KristoniwaMungu"(1Kor 3:23), kamamkeanavyomhusumwanamume

  23. “The God and Father of our Lord Jesus Christ” (1 Pet. 1:3; Eph. 1:17) even after Christ’s ascension to heaven. UhakikawakwambaMunguamesemwakuwani"Munguni Baba wa bwana wetuYesuKristo”(1Petro 1:3; Efe 1:17) hatabaadayaKristokupaakwendambinguni, kunaonyeshayakuwahuusasaniuhusianowao, kamaulivyokuwapowakatiwamaishayamwilihapaduniani.

  24. “The temple of my God...the name of my God...the city of my God” (Rev. 3:12). Analitaja"hekalu la Munguwangu…. Jina la Munguwangu…… mjiwaMunguwangu"(Uf 3:12). This proves that Jesus even now thinks of the Father as his God. He spoke of ascending “unto my Father, and your Father; and to my God, and your God” (Jn. 20:17). Alisemanapaakwendakwa "Baba yangu na Baba yenu; na kwaMunguwangu na Munguwenu"(Yohana 20:17).

  25. www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net

  26. Somo La 8 : Maswali • Je! BibliainafundishakwambaMunguniutatupamoja? • 2. OrodheshatofautitatukatiyaMungu na Yesu. • 3. Ni kwanjiazipizifuatazoYesualikuwatofautinasi? • a)Kamwehakutendadhambi • b)AlikuwanimwanapekeewaMungu • c)Hakuwezakamwekutendadhambi • d)Alilazimishwa na Mungukuwamwenyehaki • 4 Ni kwanjizipizifuatazoYesualikuwapamoja na Mungu • a)Alikuwa na asiliyaMunguwakatiwamaishayakeduniani • b)Alikuwa na tabiatimilifukamayaMungu • c)AlijuasanakamaMungu • d) Alikuwamojakwamojasawa na Mungu • 5. Ni kwanjiazipizifuatazoYesualikuwakamasisi? • a)Alikuwa na majaribuyetuyote na yapatikanayo na wanadamu • b)Alitendadhambiwakatiakiwakijana • c)Alihitajiwokovu. • d)Alikuwa na asiliyamwanadamu. • 6. Ni taarifazipizifuatazonizakweli? • a)Yesualikuwamwilimkamilifu na tabiakamilifu • b)Yesualikuwa na mwiliwadhambilakinitabiakamilifu. • c)PandembiliYesualikuwaMungukabisa na Mwanadamukabisa • d)Yesualikuwa na asiliyaAdamukablayakutendadhambi • 7. Je; Yesualikuwa na uwezekanowakutendadhambi?

  27. STUDY 8: Questions • 1.  Does the Bible teach that God is a trinity? • 2.  List three differences between God and Jesus. • 3.  Jesus was different from us because: • He never sinned • He was God’s own begotten son • He could never have sinned • He was automatically made righteous by God • 4.  In which of the following ways was Jesus similar to God? • He had God’s nature in his life on earth • He had a perfect character like God • He knew as much as God • He was directly equal to God • 5.  In which of the following ways was Jesus like us? • He had all of our temptations and human experiences • He sinned while a young child • He needed salvation • He had human nature • 6.  Which of the following statements are true? • Jesus was of a perfect nature and perfect character • Jesus was of sinful nature but perfect character • Jesus was both very God and very man • Jesus had the nature of Adam before he sinned • 7.  Was it possible for Jesus to sin?

More Related