1 / 11

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. HALI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI. MAHALI ILIPO. Mashariki ya Mkoa wa Mara imepakana Kasikazini na nchi ya Kenya Mashariki Wilaya ya Ngorongoro. (Mkoa wa Arusha) Kusini Wilaya ya Bunda na Mkoa wa Shinyanga

Télécharger la présentation

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI HALI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI

  2. MAHALI ILIPO • Mashariki ya Mkoa wa Mara • imepakana • Kasikazini na nchi ya Kenya • Mashariki Wilaya ya Ngorongoro. (Mkoa wa Arusha) • Kusini Wilaya ya Bunda na Mkoa wa Shinyanga • Magharibi Wilaya ya Musoma Vijijini • Kasikazini Magharibi Wilaya ya Tarime

  3. Ukubwa • kilometa za mraba 10,373 • Km za mraba • 7,000 ni hifadhi ya Taifa ya Serengeti • 189,63 ni eneo la “Ikorongo Game Reserve” • 68.37 ni eneo la “Gurumeti Game Reserve” • 2,456 ni eneo la wazi • Eneo lililobaki la kilometa za mraba 659 ni eneo la kilimo, ufugaji na makazi ya watu

  4. UTAWALA • jimbo moja la uchaguzi, • Tarafa 4, Kata 18, Vijiji 71, Mitaa 20 Vitongoji 318 na Kaya zipatazo 31,213 • Idadi ya watu Wilayani kwa sensa ya mwaka 2002 ni 176,609.

  5. SHUGHULI ZA KIUCHUMI • Kilimo • Ufugaji • Biashara ndogo ndogo • Viwanda vidogo vidogo • Ajira serikalini, Mashirika na Taasisi mbalimbali.

  6. KILIMO • Mazao • Kahawa, Pamba, Alizeti, Mahindi, Ulezi, Mhogo, • Viazi vitamu, Mpunga, Maharage, Karanga • Ufuta, Mtama, Tumbaku • Pato la kila mtu ni Tshs. 161,812/mwaka • Pato la Taifa ni TShs. 170,733/mwaka.

  7. UFUGAJI • Ng’ombe Asili • Mbuzi Asili • Kondoo • Punda • Kuku • Mbwa • Nguruwe • Mbuzi wa maziwa • Ngo’mbe wa kisasa

  8. UTALII • Hifadhi za Serengeti, Ikorongo na Gurumeti • Maeneo ya wazi: Ikoma, Sibora, Nyichoka na Issenye • Hoteli za Kitalii: • Seronera Wildlife Lodge, Lobo Wildlife Lodge • Serena Wildlife Lodge, Sasakwa Lodge • Sabora Lodge, Faru faru Lodge • Kambi za Kitalii ya Gurumeti, Sengo Safaris, Ndasiata, Mwairata, Swala, Zara Thomson Savana na Tanzania Adventure na Kleins na Downey.

  9. MADINI • Chokaa, Slate, Dhahabu, Gesi • Gypsum and Red ochre

  10. HUDUMA ZA JAMII • Elimu ya Msingi • shule za msingi 93 zenye wanafunzi 52,572 • Shule za ufundi 3 zenye wanafunzi 159 • Vituo vya waalimu (TRC) 6 • Elimu ya Watu Wazima • Elimu ya Sekondari: • shule 19 za Sekondari zenye wanafunzi 3385

  11. AFYA • Hospitali 1 ya kanisa • Vituo vya afya viwili (2) vya Serikali • Zahanati 31

More Related