1 / 16

VIFAA VYA KUFUNDISHIA

VIFAA VYA KUFUNDISHIA. Nini maana ya vifaa vya kufundishia ?. inandelea. Ni kitu chochote kinachotumiwa na mwalimu / mwanafunzi kwa ajili ya kushajihisha usomeshaji na kujifunza . Vipo vifaa ambavyo mwalimu ndio anatumia zaidi ( ubao , projector, nk )

kera
Télécharger la présentation

VIFAA VYA KUFUNDISHIA

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. VIFAA VYA KUFUNDISHIA Ninimaanayavifaavyakufundishia?

  2. inandelea • Ni kituchochotekinachotumiwanamwalimu /mwanafunzikwaajiliyakushajihishausomeshajinakujifunza. • Vipovifaaambavyomwalimundioanatumiazaidi (ubao, projector, nk) • Vipoambavyomwalimunamwanafunziwanatumiakwapamoja (vitabuvyakiada)

  3. Swali • UnafikirisifaganizinahitajikakwaKifaa cha kufundishiakilichoboranakitakachopelekealengo la kujifunzakufikiwa?

  4. inaendelea • Angaliakwamakinivifaavifuatavyokishatoamaoniyako.

  5. Zingatiamchorohuounasemajekamautatumikakusomeshevitenzi, mwanafunzianapatadhanagani?

  6. Angaliakwamakinichatihiiikishatoamawazoyakokamaitatumikakamanikifaa cha kufundishiaainazamaneno

  7. Zingatiachatiifuatayokishatoamaoni, inafaakutumikakamakifaa cha kufundishia?

  8. Toa maoniyakokuhusuhabarihiiikitumikakamanikifaa cha kufundishia • FISI AADHIBIWA • HapozamanikatikambugayaRijeniwanyamawadogowalikutanakwasirikujadiliuovuwaFisi. WalikutanakwasirikwasababuwalijuawanyamakamaSimba, Chui naFisiwalikuwanahamukubwayakuwashambulianakuwala. Swalaalikuwakiongoziwamkutanonaakawaambiawenzake, “Jamani, uonevuumezidi. JumalililopitawatotowawiliwaKongoniwaliliwana Chui, tena Chui alisemahakushiba. AlitakasanaamshikeKongoniamle, lakiniKongonialiwahikukimbia. JuzimwananguAmeliwanaFisi. Nilimpigatekejichonilakiniakatakakunitafuna, nikakimbia, sasatufanyeje?” • Basiwanyamawalijadilikwauchungunakwamudamrefu. Wotewalitakasana Chui naFisiwauaweharaka. Tatizolaokubwalilikuwajinsiyakuwauwa. Wenginewalishauriwaovu wale wategewemitegoyakambabaadayewapofuliwe. Hatahivyoilionekananihataribado. Hatimaesunguraakatikisamasikioyakenakusema, “Kuwauwaniachienimimi. Nipenisikusabanitawaelezanakuwaoneshanitakachofanya.” BasimkutanoukafungwanakumkubaliaSunguraafanyekazihiyo. UsikuulipoingiaSunguraalikokamotonjeyanyumbayake. Moto ulipokoleavizuriakatiajiwemojandaniya ule moto. Jiwehilolilikuwanaukubwawampirawatenisi. SunguraakaongezakunimekonihalafuakaendakumtafutaFisipangonimwake. • Sunguraalipofikamlangonimwapangoakasema, “hodikwamzeeFisi!” Fisialifurahimoyoni, kwasababualijuailesautiyaSunguranaalijuakuwaSunguraangewezakuwachakulachake. Fisihakujibuharaka. KwahiyoSunguraakasogeamlangoninakubishatenahodi. HapondipoSunguraalipojikutamakuchanimwaFisi! Sunguraakaonakifowaziwazi .Sunguraakamwambia “rafikiyangumzeeFisivipileo? Nakuleteahabarinzurihalafuunanikamata!” Fisiakasemamimininanjaayasikunnehalafuunileteehabarinzurigani? “Wewenirafikiyangu” Sunguraakampoza , “hatakamautanilahutashiba. Mimi nimekujanikukaribishekwangu. Hukonyamanitele.” • FisialifurahinakuchekahukuakimwachiaSungura . “Hayaongozanjia. Tenauongezemwendo, sio ule mwendowakowasisimizi”. SunguranaFisiwalifikakwaSungurahuku mate yanamtokaFisimdomonikwahamuyanyama. HapoSunguraakapangavitimbivyakeakasema, “mzeefisinyamaziponyingilakinihizininyamazatambiko. Kwadesturizakwetumnofuwa kwanza nitakulishamimimwenyewe, mradiulalechalinaufumbe macho”. Baadayahaponyamanyengineutakulakwamikonoyako.” KablaSungurahajamalizaFisialikwishalalachali, nakufunguamdomonapiakufumba macho. • Sunguraalichekakimoyomoyoakatwaakibanio, akabanalilejiwe la motonakulitumbukizamdomonimwaFisi. KwakuwaFisialikuwaamejiandaakumezanyama , alilimezajiweharakasana. Looo! Fisialiunguakoo, kifuanatumbo. Fisialibiringikaakiliasananakujitupahukunahukohadiakakataroho. • (Kutoka, Kiswahili 2 - Kidato cha Pili,TaasisiyaElimu, Oxford University Press, Dar Es Salaam, 1996, uk 5-6.)

  9. Chunguzaufanisiwakifaahicho

  10. SIFA ZA VISAIDIZI / VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Vifahamike • Visomeke • Visikike • Vionekane (viwevikubwavyakutosha) • Viwasilishedhanailiyokusudiwa • Viendanenamaadiliyajamii • Vilinganenaviwangovyawanafunzi

  11. Inaend. • Visiwenaatharikwawanafunzi • Visimjengekhofumwanafunzi (kutokueleweka,nk) • Vimsaidiemwanafunzikujiamini,vimhamasishe • Visiwenatafsirinyingi/dhananyingikwawakatimmoja • Vizingatietofautiyawanafunzikatikaufahamu/ugumu • Vichorwevizurivivutie (attractive)

  12. MIFANO YA VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Pichazavituhalisi • Vituhalisi • Michoro (drawings) • Vivulivyamazungumzo au habari • Redionavinasasauti • Ramani • Chatinavielelezo

  13. Inaend. • Kadizenyemalekezo • Vitabuvyakiada • Ubaonachaki • Vipandevyahabarivilivyotayarishwanamwalimu, kutokamagazetini, vitabuni,nk • Projecta • computer

  14. UMUHIMU WA VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Kurahisishaufahamukwawanafunzi • Kuwachangamshawanafunzi • Kuwashirikishawanafunzi ,kutumiaakilizaokwakuzalishamawazoyatokanayonavifaavinavyotumika • Kuhifadhimuda • VinapelekeaKumbukumbuyamudamrefu • Vinasaidiamaneno (support verbal instructions)

  15. Inaend. • Vinapelekeakuifanyadhanakuonekana (verbal idea to be concrete)

  16. Ref.Mbumda F. (1996)MbinuzaKufundishalughaya Kiswahili • Tomlison Brian (2004)Material development in language teaching

More Related