1 / 632

Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 mgisamtebe

IMANI YA USHINDI KKKT – Dayosisi ya Mashariki na Pwani Bagamoyo Lutheran Parish. Tar. 15-22 Sept, 2013. Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org. IMANI YA USHINDI ‘ Kukua na Kuongezeka katika Nguvu ya Mungu, kwa Imani iliyo ktk Yesu Kristo, ili Kutawala Mazingira yetu’.

chelsa
Télécharger la présentation

Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 mgisamtebe

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. IMANI YA USHINDIKKKT – Dayosisi ya Mashariki na PwaniBagamoyo Lutheran Parish.Tar. 15-22 Sept, 2013 Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  2. IMANI YA USHINDI‘Kukua na Kuongezeka katika Nguvu ya Mungu, kwa Imani iliyo ktk Yesu Kristo, ili Kutawala Mazingira yetu’. Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  3. KANUNI ZA KIROHO IMANI USHINDI 1Yohana 5:4-5

  4. KUKUA KATIKA IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 4 Kwa maana, kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyo Imani yetu.”

  5. KUKUA KATIKA IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 5Mwenyekuushindaulimwenguninani? Ni yeye [yule]aaminiyeyakwamba, YESU nindiyeKristonaniMwanawaMungu.

  6. KUKUA KATIKA IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 Maneno ya Msingi • Ulimwengu – Upinzani • Kushinda – Mashindano • Imani – Siri ya Ushindi

  7. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 Maneno ya Msingi • Ulimwengu – Upinzani

  8. IMANI YA USHINDI Yohana 16:33 33Ulimwengunimnayodhiki,lakini, jipenimoyo, kwakuwamiminimeushindaulimwengu; [nanyipiamtashindaulimwengu].

  9. IMANI YA USHINDI 2Petro 1:3-4 3-4Mungu, kwaNeno lake, ametupaNguvuzake,ilikwahizotuwezekubebatabiazaAsiliyaUungu, ilikuushindauharibifuuliokoduniani.

  10. KANUNI ZA KIROHO KABLA YA DHAMBI UTARATIBU ULIKUWA HIVI

  11. KABLA YA DHAMBI (ANGUKO) Utukufu (Msaada)Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani

  12. MAMLAKA YA MKRISTO Mkuu MUNGU Mfalme ADAM Mtawala KABLA YA DHAMBI “Mashal” Zab 8:4-8 Mwakilishi MALAIKA mungu DUNIA SHETANI

  13. IMANI YA USHINDI Zaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28 ‘Mwanadamu ni nani hata umwangalie kwa kiasi hiki? Umemfanya ‘punde kidogo’ kuliko Mungu, …’

  14. IMANI YA USHINDI Zaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28 ‘… ukamvika taji ya ‘Utukufu’ na Heshima; kisha ukamtawaza ‘Juu ya’(Mashal) kazi zote za mikono yako …’ …

  15. IMANI YA USHINDI Zaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28 ‘… na ukaviweka vitu vyote ulivyoviumba wewe,‘chini ya’ miguu yake; wanyama wote, ndege wote, samaki na [kila kitu]’

  16. MAMLAKA YA MKRISTO Mkuu MUNGU Mfalme ADAM Mtawala KABLA YA DHAMBI “Mashal” Zab 8:4-8 Mwakilishi MALAIKA mungu DUNIA SHETANI

  17. KABLA YA DHAMBI (ANGUKO) Utukufu (Msaada)Mungu Mwili Roho Dunia Nafsi Shetani

  18. KANUNI ZA KIROHO BAADA YA DHAMBI MAMBO YAKAWA HIVI

  19. BAADA YA DHAMBI MsaadaUkakatikaMungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani

  20. MAMLAKA YA MKRISTO MUNGU SHETANI BAADA YA DHAMBI SHETANI ALITAPELI NAFASI YA ADAM MALAIKA DUNIA ADAM

  21. MAMLAKA YA MKRISTO Mkuu Yohana 16:11 MUNGU Mfalme Waefeso 2:1-2 SHETANI Mtawala 1Yohana 5:19 BAADA YA DHAMBI Shetani akakaa katika nafasi ya Adam na akavaa vyeo vyote vya Adam Mwakilishi Luka 4:5-8 MALAIKA mungu 2Korintho 4:3-4 DUNIA ADAM

  22. Mamlaka ya shetani ulimwenguni Efe 2:1-2 – Mfalme wa anga 2Kor 4:4 – Mungu wa dunia hii 1Yoh 5:19 – Mtawala (Controler) Yoh 12:31 – Mkuu wa Ulimwengu Yoh 14:30 – Mkuu wa Ulimwengu Yoh 16:11 – Mkuu wa Ulimwengu Luk 4:5-8 - Mtawala wa Fahari

  23. MAMLAKA YA MKRISTO Mkuu Yohana 16:11 MUNGU Mfalme Waefeso 2:1-2 SHETANI Mtawala 1Yohana 5:19 BAADA YA DHAMBI Warumi 5:12, 14 Waebrania 2:14, 15 Mwakilishi Luka 4:5-8 MALAIKA mungu 2Korintho 4:3-4 DUNIA ADAM

  24. IMANI YA USHINDI BAADA YA WOKOVU MAMBO YAKAWA HIVI

  25. BAADA YA WOKOVU (KALVARI) (Utukufu) UhusianoMungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani

  26. MAMLAKA YA MKRISTO Mkuu MUNGU + ADAM - 2 Mfalme MALAIKA Mtawala BAADA YA WOKOVU Waefeso 2:1-6 Waefeso 1:18-23 Mwakilishi SHETANI mungu DUNIA ADAM - 1

  27. BAADA YA WOKOVU (KALVARI) (Utukufu) Roho Mt.Mungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani(Rum 8:9-11)

  28. MAMLAKA YA MKRISTO Ufunuo 5:9-10 9 Weweunastahilikukitwaakitabunakuzivunjalakirizake, kwasababuulichinjwana kwa damu yako ukamnunulia Munguwatukutoka katika kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa (kanisa).

  29. MAMLAKA YA MKRISTO Ufunuo 5:9-10 10Nawe umewafanya hawa wawe Ufalme na Makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao wanamiliki dunia.’’

  30. IMANI YA USHINDI 2Petro 1:3-4 3-4Mungu, kwaNeno lake, ametupaNguvuzake,ilikwahizotuwezekubebatabiazaAsiliyaUungu, ilikuushindauharibifuuliokoduniani.

  31. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 Maneno ya Msingi • Ulimwengu – Upinzani • Kushinda – Mashindano

  32. IMANI YA USHINDI Waefeso 6:10-13 12 ‘Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama, bali [tunashindana] na falme, mamlaka, wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya …’

  33. IMANI YA USHINDI Waefeso 6:10-13 10 ‘[hivyo basi] iweni hodari katika Bwana, na katika uweza wa nguvu zake …’

  34. IMANI YA USHINDI Waefeso 6:10-13 11,13 ‘Vaeni silaha zote za Mungu, ili muweze kuzipingahila zote za yule mwovu, hata muweze kusimama imara siku ya uovu.’

  35. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-5 Maneno ya Msingi • Ulimwengu – Upinzani • Kushinda – Mashindano • Imani – Siri ya Ushindi

  36. KUTEMBEA KWA IMANI 1Yohana 5:1-4 ‘… na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyo imani yetu. [imani iliyo ndani yetu]

  37. KUTEMBEA KWA IMANI 1Yohana 5:1-4 Imani iliyo ndani yako, ndio siri ya ushindi wa mtu wa Mungu katika ulimwengu huu ulioharibika.

  38. KUTEMBEA KWA IMANI Warumi 12:3 ‘Mungu amemgawia kila mtu kiasichaImani.’ [Mtaji wa Imani]

  39. Warumi 12:3 ‘Ikiwa kila muumini wa Yesu amepewa Imani(kama siri ya ushindi) kwanini watoto wa Mungu wengi bado wanaishi maisha ya kushindwa?

  40. KUKUZA KIWANGO CHA IMANI KwaMfano; Imani ya WanafunziwaBwanaYesu Mathayo17:9-21

  41. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 19 Kisha wanafunzi wake wakamwendea Yesu faraghani, mahali pasipokuwa na watu; wakamwuliza …

  42. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 19 …“Bwana, kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule Pepo?”

  43. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 20 Yesu akawajibu kuwaambia, ‘‘Ni kwasababu ya upungufu wa Imani yenu (au ni kwasababu ya imani yenu kuwa ndogo)…

  44. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 20“… Ninawaambia kweli, mkiwa na imani kama punje ndogo ya haradali, mtaweza kuuambia milima huu, ‘ondoka hapa uende pale …

  45. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 20“… mtaweza kuuambia milima, ‘ondoka hapa uende pale’ nao utaondoka. Na wala hakutakuwa na jambo lisilowezekana kwenu.’’

  46. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 21“lakini [nguvu] ya namna hii, haitoki isipokuwa kwa kufunga na kuomba.

  47. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 17:9-20 Bwana Yesu alikuwa na maana gani?

  48. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo17:9-20 Anawalaumukwakuwanaimanindogo; lakinihapohapo, anasema, imanindogoingewezakuhamishamilima!

  49. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Huwezi kujibu swali hilo Mathayo 17:9-20 kama hujui Tabia za Punje ya Haradali. Mathayo 13:31-32

  50. NAMNA YA KUKUZA IMANI YAKO Mathayo 13:31-32 Ufalme wa Mungu umefanana na punje ndogo ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote, lakini ikimea (kuchipua na kukua) …

More Related