1 / 37

NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA

NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA. SEHEMU YA 1. NJINSI KUSHINDA TAMAA YA MWILI. MAMBO MUHIMU SEHEMU YA 1. Tamaa ya Mwili nini ? Ni msukumo wa mwili unaokufanya umtamani mwana mke / mume kinyume na utaratibu wa Mungu . Tendo la ndoa ni ndani ya ndoa tu. Tamaa si upenda. Tamaa ni dhambi.

colin
Télécharger la présentation

NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA

  2. SEHEMU YA 1 NJINSI KUSHINDA TAMAA YA MWILI

  3. MAMBO MUHIMU SEHEMU YA 1 TamaayaMwilinini? • Ni msukumowamwiliunaokufanyaumtamanimwanamke/mumekinyumenautaratibuwaMungu. • Tendo la ndoanindaniyandoatu.

  4. Tamaasiupenda • Tamaanidhambi

  5. NAMNA YA KUSHINDA DHAMBI • Sulubishamwilinatamaazake. 2.Tunza usafiwamawazoyako 3.Juzuie nauwenaKiasi 4.Usiamshe tamaazamwili 5.Roho Mtakatifuakutawale

  6. NJISI YA KUSHINDA TAMAA SEHEMU YA PILI 2

  7. NJINSI YA KUSHINDA ROHO YA TAMAA

  8. YAKOBO 1:14-15 • “ 14 Lakinikilamtuhujaribiwaanapovutwanakudanganywanatamaayakemwenyewe. 15 Kishatamaahiyoikishachukuamimba, huzaadhambi; nadhambiikishakomaa, huzaamauti.”

  9. ROHO YA TAMAA NINI? • Ni tamaazamwiliambozosizakawaida, zinazomtawalamtukwanguvuzarohomchafu.

  10. Humufanyamtukufanya mambo ambayosiyakawaida. • Baba kubakamtoto wake • Mtukufanyamapemzinambwa. N.k • Kiladhambiinarohomchafunyumayake

  11. Evil spirits cannot enter a person unless they are given permission or find an open door into your life.

  12. NI MAMBO GANI HULETA ROHO YA TAMAA YA MWILI?

  13. 1.UPOTOSHAJI KATIKA FIKIRA • Ninimaanayaupotoshaji? • Ni maanahalisiyalitu au jamboiliyopotoshwa au kuchakachuliwa • Ni vitendovyangonoambavosivyakawaidanakinyumenaneno la Mungu.

  14. Romans 1:21-28 (SUV) • 21 kwasababu, walipomjuaMunguhawakumtukuzakamandiyeMunguwalakumshukuru; baliwalipoteakatikauzushiwao, namioyoyaoyenyeujingaikatiwagiza. • Wakijinenakuwawenyehekimawalipumbazika;

  15. Ms 22-23 • Wakijinenakuwawenyehekimawalipumbazika; wakaubadiliutukufuwaMunguasiyenauharibifukwamfanowasurayabinadamualiyenauharibifu, nayandege, nayawanyama, nayavitambaavyo.

  16. Verse 24-25 KwaajiliyahayoMungualiwaachakatikatamaazamioyoyao, waufuateuchafu, hatawakavunjianaheshimamiiliyao. KwamaanawaliibadilikweliyaMungukuwauongo, wakakisujudiakiumbenakukiabudubadalayaMuumbaanayehimidiwamilele. Amina

  17. Msatali 26 • HivyoMungualiwaachawafuatetamaazaozaaibu, hatawanawakewakabadilimatumiziyaasilikwamatumiziyasiyoyaasili;

  18. Mstaliwa 27 • wanaumenaovivyohivyowaliyaachamatumiziyamke, yaasili, wakawakianatamaa, wanaumewakiyatendayasiyopasa, wakapatanafsinimwaomalipoyaupotevuwaoyaliyohakiyao

  19. Mstaliwa 28 Na kamawalivyokataakuwanaMungukatikafahamuzao, Mungualiwaachawafuateakilizaozisizofaa, wayafanyeyasiyowapasa.

  20. WalimjuaMunguwakachuguakutomwabudu. 21 • HawakutakakufuatamaagizoyaMungu. 28 • Wakabadirishanaukwelikwauongo. 23

  21. Walipotoka • Wakawawajinganafahamuzaozikatiwagiza. 21 • Walipumbazika.22 • Rohoyatamaaikawatawala. 26

  22. UPOTOSHWAJI KATIKA TENDO LA NDOA • Ushoga • Wanandoawabadilishamatumiziyaasilikatiyamkenamme.. • Wanaumewakatakakuoawamaume • Na wamawakekwawanawake

  23. Ushogasikitu cha kuzaliwa nacho balinirohochafu. • Ni ngoneiliyojengwakwenyefikira • Hutokananarohoyaukengeufu.

  24. You can over come it by accepting the truth • Undo all the lies of the devil • Get somebody to help you

  25. 2. PORNOGRAPHPicha au Vedeozangono • Neno la kiyunani (pornographia), HutokanananenoKiyunani(pornē“Kahaba" naporneia“ukahaba), na (grapheinkuandika au Kurekodi", "graph") IkiwanamaanayaPicha au Kielelezo cha ukahaba au Kahaba"

  26. Wagalatia 5:19 Basimatendoyamwilinidhahiri, ndiyohaya, uasherati, (porneia)uchafu, ufisadi,

  27. Kuangaliapichazangononidhambi. • Heletapepo la ngono • HewezikuachampakaYesuakuwekehuru • Ukiwakwenyendoahuanzakutokainjeyandoa

  28. 3. MASTERBATION. PUNYETO Galatians 5:16 • Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili

  29. Masterbation-PUNYETO • Ni kufanyangonomwenyewe • Ni kutimizatamaazamwili • Huadhilindoa • Hufunguamlangokwamapepo

  30. 4. DHAMBI YA ZINAA • 1 Wakorintho 6: 15-16 • “Au hamjuiyakuwayeyealiyeungwanakahabanimwilimmojanaye? Maanaasema, Wale wawiliwatakuwamwilimmoja.

  31. Unapofanyamapenzinakahaba, umeunganishwanae. • Hukuambukizarohoyatamaa, ukahaba

  32. b) Kubakwa • Hilinitendo la Kipepo • Hufungumlangowarohoyatamaa • Kubakwahuharibu utu wamtu, heletauchungunamaumivu.

  33. 5. KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI • Wanaokwendakwawagangakutafutamvutowamapenzi. • Hupatarohoyatamaa • Hawawatunihatari

  34. 6. ROHO YA KUAMBUKIZWAZaburi 58:3 Wasiohakiwamejitengatangukuzaliwakwao;Tangutumboniwamepotea, wakisemauongo.

  35. Mtotoanawezakuzaliwanarohoyakukataliwa • Yesualijazwarohomtakatifuakiwetumboni • Kahabaakizaamtotoanakua no rohoyaukahaba.

  36. NAMNA YA KUSHINDA • Tubunaukiridhambizako. Yakobo 5:16 • Kataahiyodhambi • NendakwaViongoziwakowakushauri • Kimbiazinaa 1 Wakorintho 6:18

  37. 1 Yohana 3:8 AtendayedhambiniwaIbilisi; kwakuwaIbilisihutendadhambitangumwanzo. KwakusudihiliMwanawaMungualidhihirishwa, iliazivunjekazizaIbilisi

More Related