Download
slide1 n.
Skip this Video
Loading SlideShow in 5 Seconds..
Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi PowerPoint Presentation
Download Presentation
Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi

Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi

144 Vues Download Presentation
Télécharger la présentation

Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi

- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
Presentation Transcript

 1. 18 Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi

 2. Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako 19

 3. 20 Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa na mtego

 4. Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa mtego Wavu uwe imara kama hivi utakapoweka kikusanyio 21

 5. Pachika sehemu ya juu ya kikusanyio 22

 6. 23 Funga vizuri na kamba nyembamba

 7. 24 Hakikisah hakuna na matunda makubwa kama haya

 8. ..... hata madogo kama haya 25

 9. 26 Usitumie kamba nzito kama hizi zitafanya baadhi ya ndorobo wasiingie kwenye kikusanyio

 10. 27 Funga mfuko wa nailoni kwenye kikusanyio

 11. 28 Weka kivutio kwenye mfuko wa mtego

 12. Mtego ukishategwa uwe namna hii 29

 13. 30 Usitege mtego chini ya miti yenye kivuli

 14. ... na hakikisha mtego haujalegea kama hivi 31

 15. Wakati wa kutoa kunja vizuri mtego wako 32

 16. 33 Hakikisha vifaa vyote umerudisha..

 17. 34 Funga kwa kutumia mojawapo ya kamba za mtego

 18. Mtego uko tayari kutumiwa siku nyingine 35