1 / 11

CHANGAMOTO NA MAONI YA NSAs

CHANGAMOTO NA MAONI YA NSAs. MEDIUM TERM EXPENDITURE FRAMEWORK AND CROSS CLUSTER STARTEGY.

lysa
Télécharger la présentation

CHANGAMOTO NA MAONI YA NSAs

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. CHANGAMOTO NA MAONI YA NSAs MEDIUM TERM EXPENDITURE FRAMEWORK AND CROSS CLUSTER STARTEGY

  2. Sehemu 11: kutokana na mtikisiko wa uchumi katika dunia uchumi wa Tanzania unategemewa kupungua kwa 7.3% katika mwaka 2009( hali hii inajichanganya na kauli za viongozi na wataalamu mbalimbali wa serikali amabao wanasema kuwa hali hii haina madhara /kishindo kwa uchumi wa TZ)

  3. Sehemu 13: Serikali imejizatiti kutimiza masharti ya mikopo na pia kuwezesha shughuli za MKUKUTA kikamilifu na kuwalipa vizuri watumishi wake ili watoe huduma zenye ufanisi. - Hali halisi ni kwamba sekta muhimu kama kilimo bajeti yake bado haitoshi. Serikali katika mkutano wa Maputo (2003) iliahidi kuongeza bajeti ya kilimo hadi 10% kufikia 2008. Bajeti ya 2008/2009 ni 6.2% ( tofauti 3.8)

  4. Pamoja na juhudi ya kuongeza mishahara ya watumishi ili watoe huduma zenye ufanisi , hata hivyo huduma hizi bado hazitakuwa za kutosha kutokana na uchache wa watumishi hasa katika maeneo ya vijijini. • Huduma bora na yenye ufanisi haitapatikana kwa kuboresha mishahara tu , bado kuna haja kubwa ya kujenga uwezo wa watendaji

  5. Sehemu 14: Inasadikika kuwa kipato cha Mtanzania kwa mwaka ni USD 500 amabacho kwa kiasi kikubwa kiko chini ya mategemeo ya vision 2025 ambacho ni USD 3,600: • Vigezo vinavyotumika katika kukokotoa per capita( kipato kwa mwaka ) si halisia kutokana na udhaifu wa ukusanyaji wa takwimu. Takwimu zetu nyingi hazina ubora. • Hali ya kipato na hali ya umasikini inaweza kuelezwa vizuri zaidi na watu wahusika ( walengwa) kuliko watu wa nje.

  6. Sehemu ya 16: Inaeleza kuwa kuna maendeleo mazuri katika shule za msingi na sekondari hasa katika kujiandikisha na mahudhurio: - Vigezo vya kupima maendeleo katika elimu ni kujiandikisha kwa wingi ( quantitative enrolment) na mahudhurio ( attendance)? • Jambo la ubora wa elimu ni msingi zaidi kama tunataka kutekeleza vema MKUKUTA • Umiliki wa simu katika kaya unaweza kuchukuliwa kama kigezo cha kukua kwa uchumi , lakini kama taifa changa linaloendelea haliwezi kuwaeleza watu wa kawaida kama kitu cha kujivunia. Swali simu hizi ni za thamani gani, nani alinunua? Nani anwezesha kuziendesha?

  7. Sehemu ya 34: Serikali inafuatilia matumizi ya MKUKUTA kwa kutumia ( IFMS) : - AZISE mbalimbali zimekuwa zikijihusisha na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma ( PETS) . Taarifa hizi zinatumikaje na serikali ili kuweza kupima thamani ya fedha ( Value for money)

  8. Sehemu ya 60: Serikali inakiri kuwa na mapungufu katika kutoa fedha/ bajeti ya maendeleo kwenye wilaya na sekta mbambali: - Uko upungufu katika utekelezaji wa mipango ya DADPs sababu zikiwa ni za uchelewaji wa fedha kutoka serikali kuu . Iko haja ya kurekebisha utoaji wa bajeti has katika miradi ya kilimo inayendana na msimu.

  9. HITIMISHO : • Kutokana na uwasilishi wa Paper hii ( MEDIUM TERM EXPENDITURE FRAMEWORK AND CROSS CLUSTER STRATEGY) inaonyesha dhahiri kuwa serikali imedhamiria kuutekeleza MKUKUTA kwa nguvu zote. Hata hivyo yafuatayo yanashauriwa: • NSAs zipewe/ wapewe nafasi zaidi ya kushiriki katika mchakato mzima wa kutengeneza bajeti na pia kwenye kutathimini • Bajeti izingatie zaidi mahitaji ya wananchi katika ngazi ya chini • Halmashauri zijengewe uwezo ili kuweza kusimamia bajeti kikamilifu

  10. ANGALIZO: - TANZANIA SI MASIKINI KAMA INAVYODHANIWA . JAMBO LA MUHIMU NI KUZINGATIA UTAWALA BORA .

More Related