220 likes | 748 Vues
KISUKARI (DIABETES MELLITUS). Je kisukari ni nini?. Kisukari ni ugonjwa utokanao na ongezeko la chembechembe za sukari(glucose) katika damu.Ongezeko hili husababishwa na; -mwili kushindwa kutengeneza homoni ya insulin - kutengeneza insulin isiyo bora
E N D
Je kisukari ni nini? • Kisukari ni ugonjwa utokanao na ongezeko la chembechembe za sukari(glucose) katika damu.Ongezeko hili husababishwa na; -mwili kushindwa kutengeneza homoni ya insulin - kutengeneza insulin isiyo bora - kushindwa kuitumia insulin inayotengezwa mwilini(insulin resistance)
Aina za kisukari • Ainakuutatu • Ainaya kwanza(type 1) • Ainayapili(type 2) • Kisukariwakatiwaujauzito (Gestational Diabetes Mellitus)
Aina ya kwanza(type 1) • Hiiniainayakisukarikinachotokeatanguutotoni • Mtotohushindwakutengenezahomoniya insulin kwasababumwilihushambuliakimakosaselizinazotengeneza insulin katikaoganiyakongosho(pancreas) • Ugonjwahuuhutokeakutokananaurithiwakijenetikali • Tibayakenimgonjwakuendeleakutumiamatibabuya insulin maishayakeyote.
Aina ya pili(type two) • Hii hutokea mara nyingi ukubwani kwa sababu ya • Mwili kushindwa kutengeneza insulin sahihi • Mwili kushindwa kutumia insulin iliyotengenezwa tayari(insulin resistance)- hii hutokana mara nyingi na unene kupita kiasi. Vilevile ugonjwa huu una tabia ya kurithishwa.
Endelea….. Ainahiiyakisukarindiohatarizaidikwani -inachangiazaidiya 70-80% yawagonjwawote -inazidikuongezekakwasababuwatuhawapomakininalishenaainayamaishawanayoishi(kutofanyamazoezi) inapelekeawatuwengikuwanauneneuliopindukia(obesity) nahivyokusababishamwilikushindwakutumia insulin yake (insulin resistance) nahivyokupatakisukari. *Kwamaraya kwanza katikahistoriayaduniaainayapiliyakisuariimeathiriwatotowengikulikoainaya kwanza.
Dalili za kisukari • Kuna dalilinyingizakisukari, muhimunipamojana • Kunywamajimengimarakwamara • Kula chakulakingikupindukia • Kukojoamarakwamara • Kupataganzikatikamikononamiguu • Mwilikuchokaharaka
Madhara ya ugonjwa wa kisukari • Yapomadharayamudamfupinayamudamrefu • Yamudamfupinipamojanakupotezafahamunahatakufa(ketoacidosis), kupungukiwanaelectrolytes • Yamudamrefunipamojanaatharikatikamoyo, mfumowafahamu, macho nafigo. • Kupungukiwanguvuzakiumenitatizo la msingiktkjamii.
Matibabu ya ugonjwa wa kisukari • Matibau ya ugonjwa huu yapo katika njia mbili kuu - matibabu kwa matumizi ya dawa ya hospitali -matibabu kwa kuboresha aina ya maisha yaani mazoezi, kupunguza uzito na kutumia lishe bora