140 likes | 494 Vues
MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU. A PATRICA. Mswada -ni makala au mpango ambao huandikwa kuonyesha vipengele mbalimbali vya utafiti. Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa kwenye mswada wa utafiti ni;. kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwazi Malengo ya utafiti;. mfano.
E N D
MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU A PATRICA
Mswada -ni makala au mpango ambao huandikwa kuonyesha vipengele mbalimbali vya utafiti.
Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa kwenye mswada wa utafiti ni; kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwazi Malengo ya utafiti; mfano Katika utafiti wa wanafunzi kuacha shule, malengo yanaweza kuwa • Kutafuta sababu za kuacha shule • Kutafuta matokeo ya kuacha shule
Umuhimu na maswali ya utafiti • Kusudi la utafiti Mf; kwa nini watoto huacha shule kabla ya wakati wake katika wilaya ya mvomero?. • Maswali ya utafiti; • Jee ni watoto wangapi wameacha shule kabla ya wakati • Watoto huacha shule katika madarasa gani kwa nini? • Kuna utaratibu gani uliowekwa kuhusiana na tatizo la utoro na kuacha shule kabla ya wakati?njia zipi zitumike kuzuia tatizo hili lisitokee
Dhanio Ni kauli inayoeleza matarajio au jawabu linalotakiwa kuthibitishwa na utafiti kama kweli au si kweli Umhimu: Dhanio linamweka mtafiti kwenye vipengele mahususi vya kuchunguzwa
Pitio la maandiko-Maandiko uliyopitia ili kujenga hoja ya suala la utafiti.
Muundo wa utafiti na namna utakavyoteua sampuli • Njia za utafiti wa kielimu Njia ya survey; • D • Data hukusanya katika eneo kubwa • Hujumuisha watu wengi katika kutoa habari Njia ya kisa mafunzo; • Eneo dogo na watu wachache hufanyiwa utafiti • Hulenga katika kutafuta chanzo cha tatizo na njia za kulitatua.
Sampuli ya utafiti Njia za kupata sampuli • Njia ya bahati nasibu • Njia ya taratibu maalumu • Njia ya tabaka
Njia za kukusanya data Fomu ya maswali dodoso Mwongozo wa usaili Orodha hakiki(observation schedule) Kuchunguza kwa kuzingatia kuona,kusikilizakuvunja na kisha kuandika habari inayotakiwa katika uchunguzi huo
Namna data zitakavyochambuliwa Data kwa asilimia-kama idadi ya wahusika ni kubwa Data kwa wastani-kokotoa data ujue kwa wastani watu wansema nini Data kwa uwiano Mfano; Ongezeko katika kipengele kimoja linaweza kuoana na ongezeko katika kipengele kingine Tafuta uwiano wa ongezeko katika kipengele kimoja kwa kipengele cha pili
Onyeshajinsi matokeo ya utafiti huo yatakavyo saidia kupunguza au kuliondoa tatizo lililopo.
ASANTE KWA KUNISIKILIZA C PATRICA & C CHIPINDULA